WIZARA YA NCHI OFISI YA RAIS YAKUTANA NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI
  | 
|   
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa
 Wizara ya  Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la
 Mapinduzi,katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar. 
 | 
  | 
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, 
akizungumza na Uongozi wa Wizara ya  Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa
 Baraza la Mapinduzi,katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar. 
 | 
  | 
Waziri
 wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi 
Dk.Mwinyihaji Mwadini Makame,(kulia) akitoa taarifa ya utekelezaji wa 
Kazi za Wizara hiyo,katika Mkutano  na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
 Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,ukujumuisha na watendaji  katika ukumbi wa Mkutano wa Ikulu Mjini Zanzibar,ikiwa ni mfululizo kwa kila Wizara kuzungumzia   utekelezaji wa kazi zake. 
 
                        [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] 
 | 
 
No comments:
Post a Comment