| Mwanamuziki
 nyota wa dansi kutoka nchini DRC-Kongo,Koffi Olomide akiwasalimia 
baadhi ya mashabiki wake waliofika kumlaki usiku wa kuamkia leo mara baada ya kuwasili akiwa sambamba na skwadi lake zima la Quartier Latin kwenye
 uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA),tayari kwa onesho
 lake litakalofanyika siku ya jumamosi ndani ya viwanja vya Lidaz 
Club,Kinondoni jijini Dar na jumapili jijini Mwanza ndani ya uwanja wa CCM-Kirumba,onesho
 hilo ambalo limedhaminiwa na kampuni ya bia ya Afrika Masharikia (EABL)
 kupitia kinywaji chake cha Tusker kiingilio chake kimepangwa kuwa ni 
shilingi 10,000/= kwa kichwa kama tiketi ikinunuliwa mapema na shilingi 
15,000/= getini.Pichani kushoto ni Mwenyeji wake kutoka kampuni ya Prime
 Time Promotions Ltd,Godfrey Kusaga  | 
No comments:
Post a Comment