TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Monday, December 17, 2012

MANGULA APOKELEWA KWA MBWEMBWE NJOMBE


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Mhe. Anne Makinda, akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Phillip Mangula.

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Njombe, Deo Kasenyenda Sanga 'Jah People', akimkabidhi kuku Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Phillip Mangula.

Makamu mwenyekiti akizungumza na wananchi kwakuwashukuru na kuwaomba watoe ushirikiano wa mawazo yao katika vikao vya chama na kwamba wawe na subira.


Wazee wa Njombe wakimvisha joho la Chama cha Mapinduzi Makamu Mwenyekiti Phillip Mangula.

No comments:

Post a Comment