HALFA YA UZINDUZI WA BODI YA MFUKO WA BARABARA NA BODI YA WAKALA YA BARABARA
  | 
| Waziri
 wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiongea wakati  akizindua  Bodi ya Mfuko 
wa Barabara na Bodi ya Wakala wa Barabara (TANROADS) Dec 17,12,2012 
jijini Dar es Salaam  | 
  | 
| Katibu Mkuu wa Uchukuzi na Mjumbe wa Bodi yaMfuko wa Barabara aliemaliza muda wake Mhandisi Omar Chambo akishukuru | 
  | 
| Mwenyekiti
 wa Bodi ya Mfuko wa Barabara Dr, James Wanyancha akizungumza wakati wa 
 hafla ya uzinduzi wa Bodi ya mfuko wa Barabara na Bodi ya Wakala wa 
Bararabra (TANROADS) jijini Dar es salaam , Dec, 17, 2012. | 
  | 
| Waziri
 wa Ujenzi Dkt. John Magufuli (kulia) akimpa zawadi Mjumbe wa Bodi ya 
mfuko wa Barabara aliemaliza muda wake kwa mujibu wa sheria za Bodi 
Mhandisi Omar Chambo (kushoto) ,Waziri Magufuli amemshukuru Mhandisi 
Omar Chambo. ambae pia  ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi pamoja na 
wajumbe wengine waliomaliza muda wao kwa mchango mkubwa walioutoa katika
 mfukona kuleta ufanisi | 
  | 
| Baadhi
 ya Wageni waalikwa waliohudhuria katika hafla ya uzinduzi wa Bodi 
hizo Dec,17, 2012 jijini Dar es salaam , ambapo mgeni rasmi alikuwa 
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli (hayupo pichani) | 
  | 
| Bodi ya Wakala wa Barabra (TANRROADS) (chinin ya mwenyekiti Hawa Mmanga ( waliokaa mwanamke) | 
  | 
| Bodi ya Mfuko wa Mfuko wa Barabara chini ya mwenyekiti wake Dkt. James Wanyancha walioka (mbele kutoka kushoto) | 
 
No comments:
Post a Comment