TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Wednesday, December 19, 2012

VIDEO MPYA YA DIAMOND IPO HEWANI
Diamond Platnumz, jina ambalo litaendelea kuwaumiza vichwa watu wengi hasa wasanii wenzake ambao wanaitamani nafasi aliyoshika yeye kwa sasa, the dude is running this game kwa sasa kiukweli na ni ngumu sana kuamini kwamba atashuka kiwango soon.

Haujapita muda mrefu since ameachia video kali ya 'Nataka Kulewa', leo hii anazidi kuwachanganya akili fans wake kwa kudrop another big thing another brand new video "KESHO" ambayo kwa kuitazama tu inaashiria ni ya bajeti na maandalizi ya kutosha.

This time around Platnumz hajalia kama ilivyokuwa katika nyimbo zake zilizopita lakini bado yuko kwenye duara la mapenzi, akimwambia mbaibe wake kuhusu siku ya Kesho ambayo wanapanga kwenda kwa wazazi.

Video hii imefanyika nchini Kenya chini ya Ogopa Videos, na video girl katika video hiyo ni msanii mkubwa wa kike wa Kenya Avril. Master Mastar wengine wakubwa wwa Kenya walioonekana kwenye video hiyo ni pamoja na William Tuva mtangazaji wa Citizen Radio/TV, Collo, na Colonel Mustafa.

No comments:

Post a Comment