JK AONGOZA MAADHIMISHO YA MIKA 51 TANZANIA BARA
  | 
| Rais
 wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dk.Jakaya 
Kikwete akiwasili katika gari maalum la Kijeshi na Mkuu wa majeshi 
Jenerali Davis Mwamunyange kwenye uwanja wa uhuru kwa ajili ya  
maadhimisho ya miaka 51 Uhuru wa Tanzania Bara 2012 yanayofanyika kila 
mwaka Desemba 9, Kauli Mbiu ya Maadhimisho ya Mwaka huu ni “Uwajibikaji,
 Uadilifu na Uzalendo ni nguzo ya Maendeleo ya Taifa letu”  | 
  | 
| Amiri
 Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania Dk. Jakaya 
Kikwete akikagua gwaride la vikosi vya Ulinzi na usalaama katika 
maadhimisho hayo  | 
 
No comments:
Post a Comment