TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Thursday, December 13, 2012

UONGOZI MPYA WA BONGO MOVIE RAY WOLPER WALAMBA SHAVU
Ray Kigosi
Mwenyekiti wa zamani wa Bongo Movies JB akimpongeza Jackline
Kutoka kushoto ni Chiki Mchoma, Ray na Jack Wolper viongozi wapya hao
Irene Uwoya na Chiki
Hivi karibuni Bongo Movies ilipata viongozi wake wapya katika uchaguzi uliofanyika Leaders Club jijini Dar es Salaam.

Viongozi wapya waliochaguliwa ni pamoja na Vincent Kigosi aliyechaguliwa kuwa Mwenyekiti Mkuu, Irene Uwoya -Makamu wa Mwenyekiti , Chiki Mchoma Katibu Mkuu, Single Mtambalike aka Richie Richie alichaguliwa kuwa Mtunza Fedha Mkuu na Makamu wake kuwa Jackline Wolper.


No comments:

Post a Comment