JK APOKEA MAJENGO MAPYA MATATU YA HUDUMA ZA MAMA NA MTOTO
  | 
| Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mbunge wa Ubungo Mhe John 
Mnyika na Balozi wa Korea kwa pamoja wakifungua rasmi jengo la Huduma za
 Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sinza Palestine Kinondoni jijini Dar 
es salaam leo December 12, 2012 | 
  | 
| Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mbunge wa Ubungo Mhe John 
Mnyika na Balozi wa Korea kwa pamoja wakikata utepe kufungua rasmi jengo
 la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sinza Palestine 
Kinondoni jijini Dar es salaam leo December 12, 2012 | 
  | 
| Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete na Balozi wa Korea kwa pamoja
 wakitembelea sehemu ya chumba cha upasuaji mkubwa chenye vifaa vya 
kisasa baada ya kufungua  rasmi jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika 
Hospitali ya Mnazi Mmoja Ilala ijini Dar es salaam leo December 12, 2012 | 
  | 
| Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete wakimsalimia mzazi 
aliyejfungua salama alipofanya ziara baada ya kufungua  rasmi jengo la 
Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sinza Palestine Kinondoni 
jijini Dar es salaam leo December 12, 2012 | 
  | 
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete na Balozi wa Korea kwa pamoja
 katika picha ya pamoja na madaktari na wauguzi wa Hospitali ya Mnazi 
mmoja  baada ya kufungua  rasmi jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika 
Hospitali ya Mnazi Mmoja Ilala ijini Dar es salaam leo December 12, 2012 
 
                           (PICHA NA IKULU)  
 | 
 
No comments:
Post a Comment