TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Wednesday, December 12, 2012

DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA IRELAND NCHINI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza laMapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Ireland Nchini Tanzania  Fionnuala Gilsenan,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kusalimiana na Rais jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkaribisha   Balozi wa Ireland Nchini Tanzania  Fionnuala Gilsenan,mara baada ya kuwasili  Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana na Rais
                     Picha na Ramadhan Othman

No comments:

Post a Comment