JK.AKABIDHI NYUMBA 35 ZA WAATHIRIKA WA MABOMU YA GONGO LA MBOTO
|
Bila
kujali mvua kubwa inayonyesha, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiakata
utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa nyumba mpya 35 ambazo serikali
imewajengea waathirika wa mabomu Gongo la Mboto katika eneo la Msogole,
Toangoma, Wilaya ya Ilala leo Desemba 13, 2012 |
|
Bila
kujali mvua kubwa inayonyesha, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua
kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi wa nyumba mpya 35 ambazo serikali
imewajengea waathirika wa mabomu Gongo la Mboto katika eneo la Msogole,
Toangoma, Wilaya ya Ilala leo Desemba 13, 2012 |
|
Baadhi
ya nyumba mpya 35 ambazo serikali imewajengea waathirika wa mabomu
Gongo la Mboto katika eneo la Msogole, Toangoma, Wilaya ya Ilala kama
zinavyoonekana leo Desemba 13, 2012 baada ya kuzinduliwa na Rais
Jakaya Mrisho Kikwete |
|
Baadhi
ya nyumba mpya 35 ambazo serikali imewajengea waathirika wa mabomu
Gongo la Mboto katika eneo la Msogole, Toangoma, Wilaya ya Ilala kama
zinavyoonekqana Desemba 13, 2012 baada ya kuzinduliwa na Rais
Jakaya Mrisho Kikwete |
No comments:
Post a Comment