FM ACADEMIA WASHEREKEA MIAKA 15 YA BENDI YAO
  | 
|  Rais wa bendi ya FM 
Academia Bw. Nyoshi El Saadat na waliokuwa wakurugenzi wa bendi hiyo 
miaka ya nyuma Abas Mwinyi Sadamu Hussein kushoto na Felician Chaula 
kulia kwa Nyoshi El Saadat pamoja na warembo mashabiki wa bendi ya FM 
Academia wakikata keki kwa pamoja,  wakati sherehe ya Bendi hiyo 
kutimiza miaka 15 ya huduma yake katika kutoa Burudani nchini Tanzania, 
iliyofanyika kwenye klabu ya Msasani jijini na kuambatana na onyesho 
kubwa na la kukata na shoka lililoshirikisha Mashabiki, Wadau na watu wa
 karibu na bendi hiyo ,  | 
  | 
| Vijana wa FM Academia 
wakifanya vitu vyao jukwaani usiku huu kwenye ukumbi wa Msasani Club 
jijini Dar es salaam | 
 
No comments:
Post a Comment