DK. SHEIN AZINDUA SENSA YA MITI JOZAN UNGUJA
  | 
| Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
 Dk.Ali Mohamed Shein,kwa pamoja na Balozi wa Norway nchini Tanzania 
Bibi Arna Klepsivik,wakata utepe kama ishara ya Uzinduzi wa sensa ya miti (woody  Biomass Survey) katika hifadhi ya Taifa ya msituwa  Jozani  | 
  | 
| Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipima mti kujua upana wake baada ya kuzindua zoezi la  sensa ya miti (woody  Biomass Survey) katika hifadhi ya Taifa ya msitu wa  Jozani jana,(kulia) Naibu waziri wa Kilimo na Maliasili Mtumwa Kheir Mbaraka,na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Maliasili Affani Othman Maalim,(kulia). | 
 
No comments:
Post a Comment