JK KWENYE SHEREHE YA WENYE VIWANDA
  | 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Distilleries Bw David Mgwassa kombe la 
ushindi
 wa mwaka wa uzalishaji bora nchini katika hafla ya Shirikisho la Wenye 
Viwanda nchini  (CTI) usiku wa kuamkia leo(jana) Ijumaa  
Desemba
 14, 2012 katika hoteli ya Serena Inn. Kulia ni Mwenykiti wa makampuni 
ya IPP Dkt. Rginald Mengi na Kushoto ni Bw. Arnold Kileo. 
 | 
  | 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wafanyakazi na wadau wa  Tanzania Distilleries bada ya kunyakua   kombe la 
ushindi
 wa mwaka wa uzalishaji bora nchini katika hafla ya Shirikisho la Wenye 
Viwanda nchini  (CTI) usiku wa kuamkia leo(jana) Ijumaa  
Desemba 14, 2012 katika hoteli ya Serena Inn. 
  
PICHA NA IKULU 
 
 | 
 
No comments:
Post a Comment