
Kutokana na tetemeko hilo The Pacific Tsunami warning center huko Hawaii wametoa tamko kwamba hakuna dalili zozote za kutokea kwa tsunami kwenye eneo hilo ambalo watu zaidi ya 33 wamejeruhiwa.
Majengo mawili pamoja na fish port yaliangushwa huko Cebu City ambao ni mjia wa tano kwa ukubwa nchini Philippines ambapo pia ni jiji ambalo linalofanya vizuri zaidi kwa utalii.


No comments:
Post a Comment