DUCE YAZINDUA MWAKA WA MASOMO 2013/14
MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU
CHA DAR ES SALAAM PROF. RWEKAZA MUKANDARA AZINDUA MWAKA MPYA WA MASOMO
2013/14 KWA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA DUCE.
MKUU WA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU
DAR ES SALAAM PROFESA DAVID MFINANGA AKITOA HOTUBA YA UZINDUZI WA MWAKA
MPYA WA MASOMO 2013/14 KWA WANAFUNZI WAPYA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA
CHUO HICHO, HAFLA HIYO ILIFANYIKA JANA CHUONI HAPO. KULIA NI NAIBU MKUU
WA CHUO ANAYESHUGHULIKIA MAUSUALA YA TAALUMA PROFESA GODLIVING MTUI NA
KUSHOTO NI NAIBU ANAYESHUGHULIKIA UTAWALA PROFESA JOSEPH BUCHWEISHAIJA.
JUMLA YA WANAFUNZI 1200 WAMEJIUNGA NA HICHO.
BAADHI YA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU
KISHIRIKI CHA ELIMU DAR ES SALAAM WAKIFATILIA HOTUBA KATIKA UZINDUZI WA
MWAKA MPYA WA MASOMO 2013/14 KWA WANAFUNZI WAPYA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA
NA CHUO HICHO, HAFLA HIYO ILIFANYIKA JANA CHUONI HAPO JUMLA YA
WANAFUNZI 1200 WAMEJIUNGA NA HICHO.
MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU CHA DAR ES
SALAAM PROFESA RWEKAZA MUKANDARA AKITOA HOTUBA YA UZINDUZI WA MWAKA MPYA
WA MASOMO 2013/14 KWA WANAFUNZI WAPYA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO
HICHO, HAFLA HIYO ILIFANYIKA JANA CHUONI HAPO. JUMLA YA WANAFUNZI 1200
WAMEJIUNGA NA HICHO.(P.T)
No comments:
Post a Comment