RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WATOA POLE KWA MJANE NA FAMILIA YA BALOZI ISAAC SEPETU LEO
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mjane wa Balozi Isaac Sepetu, 
Mama Miriam Sepetu, alipokwenda na Mama Salma nyumbani kwa marehemu 
Sinza Mori, Dar es salaam, kutoa pole kwa mjane huyo na familia ya 
Marehemu Sepetu aliyefariki jana jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pole kwa wanafamilia wa Balozi 
Isaac Sepetu alipokwenda na Mama Salma nyumbani kwa marehemu Sinza Mori,
 Dar es salaam, kutoa pole kufuatia msiba Marehemu Sepetu aliyefariki 
jana jijini Dar es salaam.
Mke wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa Balozi Isaac 
Sepetu alipokwenda nyumbani kwa marehemu Sinza Mori, Dar es salaam, 
kutoa pole kufuatia msiba Marehemu Sepetu aliyefariki jana katika jijini
 Dar es salaam.
(P.T)
         
            
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo
 ya msiba wa Balozi Isaac Sepetu alipokwenda nyumbani kwa marehemu Sinza
 Mori, Dar es salaam, kutoa pole. Marehemu Sepetu aliyefariki jana 
katika jijini Dar es salaam.
Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya 
msiba wa Balozi Isaac Sepetu nyumbani kwa marehemu Sinza Mori, Dar es 
salaam. . Marehemu Sepetu aliyefariki jana katika jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa Balozi Isaac Sepetu, 
Mama Miriam Sepetu, alipokwenda na Mama Salma nyumbani kwa marehemu 
Sinza Mori, Dar es salaam, kutoa pole kwa mjane huyo na familia ya 
Marehemu Sepetu aliyefariki jana jijini Dar es salaam.
PICHA NA IKULU
                    
 
 
No comments:
Post a Comment