MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWASILI MKOANI KIGOMA KUZINDUA KIVUKO KIPYA
            MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWASILI MKOANI KIGOMA KUZINDUA KIVUKO KIPYA CHA MV MALAGALASI WILAYANI UVINZA KESHO.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano 
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya 
viongozi wa Mkoa wa Kigoma wakati 
walipokuwa wakimpokea kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo mchana. 
Makamu amewasili mkoani Kigoma leo kwa ajili ya kuzindua Kivuko kipya cha Malagalasi katika Wilaya ya Uvinza kesho. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano 
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia burudani ya ngoma za
 asili kutoka kwa wakazi wa Mkoa wa Kigoma, wakati alipowasili kwenye 
Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo mchana, kwa ajili ya kuzindua Kivuko kipya
 cha Mv Malagalasi kesho katika Wilaya ya Uvinza. Picha na OMR(P.T)
        




No comments:
Post a Comment