TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Sunday, October 27, 2013

AU YAZUILIWA KUFIKA ABYEI
130505102212_sudan_abyei_304x171_getty_5c344.jpg
Umoja wa Afrika umeishutumu serikali ya Sudan kuwa inauzuwia ujumbe wa AU kuzuru Abyei, eneo lenye mafuta ambalo linaaniwa na Sudan na Sudan Kusini.
Taarifa ya AU inasema ziara hiyo imeakhirishwa mara mbili katika juma, kwa sababu za usalama ambazo zinaonesha siyo sababu nzito.
Umoja wa Afrika unajaribu kupatanisha baina ya nchi hizo mbili kuhusu swala la Abyei, ambalo halikupatiwa ufumbuzi tangu Sudan Kusini ilipojitenga kutoka Sudan mwaka wa 2011.(P.T)

No comments:

Post a Comment