KARIBU KWENYE KONGAMANO LA 
MAOMBEZI YA KINABII LINALOENDELEA HUKO MAJOHE KWA WALIOBA, UJE UPOKEE 
MUUJIZA WAKO AMBAO BWANA AMEKUANDALIA.
  | 
| Mchungaji Starfford Godson Jacob akiwa Madhabahuni katika Ibada ya jumapili ya wiki hii,ambapo Mungu alionekana akiwatembelea watu kwa njia ya ajabu | 
  | 
| Waumini wakiombewa kujazwa na nguvu za Roho Mtakatifu | 
  | 
| Karibu tena wewe unayesoma habari hii katika Ibada ya Jumapili inayokuja ili kuungana nasi kumwabudu Mungu, kwa mawasiliano ukitaka kufika eneo hilo piga 0656 507130 / 0713055459. Wote mnakaribishwa | 
 
No comments:
Post a Comment