TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Sunday, October 27, 2013

KUTUNA NA MCHUNGAJI STARFFORD GODSON JACOB WA HUDUMA YA HABARI NJEMA ILIYOPO MAJOHE , AKIKUPA USHUHUDA AMBAO MUNGU AMEMTENDEA KATIKA MAISHA YAKE YA KIHUDUMA
Mchungaji akifuta machozi baada ishara ya kumshukuru Mungu kwa yale anayomtendea katika huduma yake

Hapo akiwa anaelezea historia ya hiyo stuli iliyopo mbele yake ndiyo madhabahu yake ya kwanza, ambapo alipoanza huduma hiyo alikuwa na madhabahu hiyo pamoja na mikeka ambayo washirika walikuwa wakikalia kumwabudu Mungu kabla hata ya kupata viti  na kuanza ujenzi wa kanisa
Hii ni madhabahu yake mpya ambayo bwana amempatia kwa sasa , hii imetokana na juhudu zake za kumuomba Mungu ili aweze kumfanikisha

Hapo akionyesha  stuli ambayo walianza nayo wakati huduma inaanza ikiwa ni viti vya awali
Hiyo aliyosimama ni madhabahu yake ya pili baada ya baada ya Mungu kumtoa katika madhabahu ya kwenye stuli, fuatana naye utapata ushuhuda ulio kamili Kwani Mungu amekuwa akimtuma kila siku katika huduma yake

No comments:

Post a Comment