TORRES AITEKETEZA MAN CITY DAKIKA YA MWISHO KABISA, CHELSEA YASHINDA 2-1
BAO la dakika ya 90 na ushei la 
Fernando Torres limeipa ushindi wa 2-1 Chelsea dhidi ya Manchester City 
Uwanja wa Stamford Bridge, London usiku huu katika Ligi Kuu ya England.
Awali, Torres alitoa krosi nzuri kwa 
Schurrle akaifugia bao la kwanza Chelsea dakika ya 32, lakini Aguero 
akaisawazishia City dakika ya 48.(P.T)
        




No comments:
Post a Comment