TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Monday, October 21, 2013

KARIBU KWENYE KONGAMANO LA MAOMBEZI YA KINABII LINALOENDELEA HUKO MAJOHE KWA WARIOBA, UJE UPOKEE MUUJIZA WAKO AMBAO BWANA AMEKUANDALIA.
Waumini wakiwa wametulia wakisikiliza mahubiri
Waumini wakiwa wanaendelea kusikiliza mahubiri

Huduma ya maobezi ilianza kama unavyoona Mchungaji akiwa anamuombea binti aliyekuwa anayesumbuliwa na nguvu za giza
Huduma ya maombezi ikiendelea
Huduma hii ya maombezi ni bure na haina ghrama zozote ni juhudu zako kufika katika kongamano hilo linaloendelea ambalo limeanza toka Septemba 30 na litaisha Octoba 31. Ni wakati wako wa kukutana na Bwana uone vile atakavyokufungua.
Jinsi ya kufika ukiwa gongo la mboto panda magari ya Majohe - chuo rada shuka kituo kinachoitwa kwa Walioba, ukifika hapo uliza kanisa la Habari Njema. utakuwa umefika..!
Utakutana na Nabii wa Bwana Starfford Godson Jacob atakuhudumia kwa kadili Roho wa Mungu atakavyomuongoza . Usikae unateseka fika mahali hapo upokee Muujiza wako.

No comments:

Post a Comment