RUFAA YA BABU SEYA, PAPII KOCHA KILICHOBAKI HUKUMU

Nguza Viking 'Babu Seya' (kulia) na mwanaye Johnson Nguza 'Papii Kocha' wakitoka mahakamani kwa furaha.

Nguza Viking 'Babu Seya' (wa pili kulia) na mwanaye Johnson Nguza 'Papii Kocha' (wa pili kushoto) wakiwa mahakamani.

Babu Seya na Papii Kocha wakiwa na furaha nje ya mahakama.
Baada ya majaji wa Mahakama ya Rufaa 
jijini Dar es Salaam kupitia hoja za mawakili wa serikali na utetezi 
kwenye Rufaa ya hukumu ya kifungo cha maisha jela katika kesi iliyokuwa 
ikimkabili mwanamuziki Nguza Viking 'Babu Seya' na mwanaye Johnson Nguza
 'Papii Kocha', wameamua kuhairisha rufaa hiyo mpaka tarehe husika ya 
kutoa hukumu ya kesi hiyo itakapopangwa hapo baadaye.(Picha na Richard Bukos / GPL) (P.T)
No comments:
Post a Comment