Wema Sepetu kwenye Instagram kinachomhusu Diamond

Wema 
Sepetu mwenyewe anajua kwamba watu wengi wanafikiri yeye anawaza kuwa na
 Diamond hivi sasa, lakini ametoa majibu ya hayo mawazo kwenye hii 
picha. Maana ya hii picha ni kwamba watu wengi wanafikiri kwamba muda 
wote Diamond yupo kwenye kichwa cha Wema, lakini yeye mwenyewe anasema 
kwamba muda wote anafikiria pesa.

Wema Sepetu (HM)
No comments:
Post a Comment