Serikali yafanya mkutano wa tathmini ya mapitio ya matumizi ya fedha za Umma 2013
Katibu
Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwilile akimkaribisha Mgeni rasmi
ambaye ni Waziri Wizara hiyo kutoa hotuba yake kwenye mkutano wa
tathmini ya mapitio ya mwaka 2013 juu ya matumizi ya fedha za umma wa
unaofanyika kwa siku mbili katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere leo jijini Dar es salaam.
Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa
akifungua mkutano wa tathmini ya mapitio ya mwaka 2013 juuya matumizi ya
fedha za umma wa unaofanyika kwa siku mbili tarehe (04- Oktoba) katika
ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere leo jijini Dar es salaam.(P.T)
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa
mkutano wa tathmini ya mapitio ya mwaka 2013 juu ya matumizi ya fedha za
umma wa unaofanyika kwa siku mbili katika ukumbi wa Kimataifa wa
Mwalimu Julius Nyerere leo jijini Dar es salaam.

Balozi wa
Swiden nchini Mh. Balozi Lennanrth Hhjelmaker akimshukuru Mgeni rasmi
Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa baada ya kumaliza kutoa hotuba ya
yake ya ufunguzi wa mkutano wa tathmini ya mapitio ya mwaka 2013 juu ya
matumizi ya fedha za umma wa unaofanyika kwa siku mbili katika ukumbi wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere leo jijini Dar es salaam.
Baadhi ya waandishi wa habari
wakiongea na Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa baada ya mkutano wa
tathmini ya mapitio ya mwaka 2013 juu ya matumizi ya fedha za umma wa
unaofanyika kwa siku mbili katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere leo jijini Dar es salaam.
(Picha zote na Eleuteri Mangi – Maelezo)
No comments:
Post a Comment