WAZIRI WA NCHI AZUNGUMZA NA BALOZI WA UJERUMANI
            
Waziri wa Nchi Ofisi 
ya Makamu wa Rais – Mazingira Dr. Eng. Binilith Satano Mahenge (wa 
kwanza kushoto), Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Ummy 
Mwalimu (wa pili kulia) na Mkurugenzi wa Mazingira Bw. Julius Ningu (wa 
kwanza kulia) wakiwa pamoja na Balozi wa Ujerumani Mr.  Hans Koeppel kwa
 ajili ya Mazungumzo jijini Dar es Salaam.CHANZO BBC,(A.I).
                    


No comments:
Post a Comment