Kilichotokea baada ya Beckham kuwaalika Zidane, Lucas Moura na Bale nyumbani kwake hiki hapa

Kwenye tangazo jipya la kampuni ya Adidas, wanaonekana wachezaji hao – Zinedine Zidane, Moura, Bale wakiwa kwenye jumba la Beckingham Palace linalomilikiwa na Beckham – wakitazama mpira wa michezo ya game, ghafla wanne hao wanaanza kubishana juu ya kucheza soka na mwishowe wanaamua kuonyesha namna ya kucheza, wakigeuza sebule ya jumba la Beckham uwanja.
No comments:
Post a Comment