TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Monday, June 16, 2014

LIONEL MESSI AIPAISHA ARGENTIA 

1_2115e.jpg
Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Argentina bao la pili.
2_a7c1d.jpg
Messi akipiga shuti na kutumbukiza mpira nyavuni.
 
  LIONEL Messi ameifungia Aregentina bao katika ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Bosnia-Herzegovina.
 Beki wa Bosnia, Sead Kolasinac alijifunga bao dakika ya tatu, na katika dakika ya 65, Messi alifunga bao la pili na la ushindi.
Bao la kusawazisha la Bosnia limefungwa na  Vedad Ibisevic katika dakika ya 85. (A.I)

No comments:

Post a Comment