TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Thursday, June 12, 2014

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO, KTK PICHA

PG4A2298 d33ee
Mbunge wa Mwibara Kange Lugola akiomba kura za kuwania nafasi ya Mjumbe wa Tume ya Utumishi Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.
PG4A2310 6ca0b
Mbunge wa Mwibara akivua bango alilokuwaameva wakati akiomba kura kwa wabunge za kuwania kuteuliwa kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma. Aliamriwa kuvua bango hilo na Spika wa Bunge Anne Makinda.
PG4A2380 17f5c
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mwanza Mjini, Ezekiel Wenje , Bungeni mjini Dodoma Juni 11, 2014. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment