SHEREHE ZA KUAGA WASTAAFU WA JESHI LA MAGEREZA MKOANI MWANZA ZAFANA
Meza Kuu 
katika sherehe za kuwaaga Wastaafu wa Jeshi la Magereza Mkoani Mwanza 
(katikati) ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir
 Minja ambaye pia ndiye aliyekuwa Mgeni rasmi katika sherehe hizo 
zilizofana katika Ukumbi wa Gereza Kuu Butimba, Mwanza.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza
 Nchini, John Casmir Minja akitoa hotuba fupi kwa Maofisa wa Jeshi la 
Magereza na Wageni Waalikwa (hawapo pichani) katika Sherehe za kuwaaga 
Wastaafu wa Jeshi la Magereza Mkoani Mwanza.
Maafisa 
na Askari wa Magereza Mkoani Mwanza wakimsikiliza Mgeni rasmi Kamishna 
Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja(hayupo pichani) wakati akitoa 
hotuba yake fupi katika sherehe za kuwaaga Wastaafu wa Jeshi la Magereza
 Mkoani Mwanza katika Ukumbi wa Bwalo la Gereza Kuu Butimba, Jijini 
Mwanza.(A.I)



No comments:
Post a Comment