UMOJA WA AFRIKA (AU) WAWATUNUKU DKT. SALIM NA BALOZI MBITA TUZO
Waziri 
Mkuu Mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim akipokea Tuzo ya Juu ya Umoja wa 
Afrika ya Mwana wa Afrika kwa Mwaka 2014 kutoka kwa Kamishna wa Amani na
 Usalama wa Umoja wa Afrika, Mhe. Balozi Smail Chergui. Tuzo hiyo  
ilitolewa mjini Arusha pembezoni mwa Warsha ya Tano ya Ngazi ya Juu 
kuhusu Amani na Usalama Bararani Afrika iliyoandaliwa na Umoja wa Afrika
 inayoendelea mjini humo.
Balozi Chergui akimkabidhi Cheti cha Tuzo hiyo Dkt. Salim
Balozi Chergui akimkabidhi Tuzo ya Juu ya Umoja wa Afrika ya Mwana wa Afrika ya Mwaka 2014, Binti wa Balozi Hashim Mbita, Sheila Hashima Mbita ambaye aliipokea Tuzo hiyo kwa niaba ya Baba yake ambaye hakuweza kufika kutokana na matatizo ya kiafya.(P.T)
Balozi Chergui akimkabidhi Cheti Bi. Sheila Hashim Mbita kwa niaba ya Balozi Mbita.
No comments:
Post a Comment