BONDIA THOMAS MASHALI AJIFUA KUMKABILI MKENYA HENRY WANDERA
Bondia 
Tomas Mashali  kushoto akijifua wakati wa mazoezi ya kujiandaa kupambana
 na Bondia Henry Wandera kutoka kenya novemba 1 katika ukumbi wa frends 
corner manzese, akisimamiwa na Kocha wa Mchezo wa Masumbwi kutoka 
Sweeden, Juma Ntuve (www.superdboxingcoach.blogspot.com) (P.T)
            
Na Mwandishi Wetu
BON DIA 
Thomasi Mashali  yupo katika maandalizi mazito ya kumkabili bondia 
kutoka kenya Henry Wandera Novemba mosi katika ukumbi wa Frends Corner 
Manzese Dar es salaam
akizungumza
 wakati wa mazoezi yake juzi Mashali amesema kuwa yupo fiti wakati 
wowote yeye kufanya kazi hivyo aofii ata kiogo mpambano huo na kuwataka 
mashabiki wake waje waone anavyo mgalagaza vibaya sana siku hiyo mkenya 
Wandera
mbali
 na mpambano huo siku hiyo kutakuwa na mapambano mengine ya utangulizi 
yatakayo wakutanisha Mbayo Ilunga na Fred Sayuni wakati Joseph Mbowe 
ataoneshana umwamba na Saidy Salum na Ramadhani Johncena ataoneshana 
ubabe na Baina Mazola
na 
mipambano mingene mikali zaidi siku hiyo kutakuwa na michezo ya 
utangulizi zaidi ya nane yenye raundi sita sita katika mpambano huo siku
 hiyo kutakuwa na ulinzi wa kutosha kabisa kutokana na kujipanga vizuri 
katika swala hilo kingilio ni shilingi, 7000; kwa kila mtu mchezo huu 
utapambwa na burudani mbalimbali
No comments:
Post a Comment