Mkutano sekta ya mawasiliano 'Connect to Connect Summit' waendelea Dar
Wataalamu
wa sekta ya mawsiliano wakiwa katika majadiliano katika mkutano wa
masuala ya TEHAMA ‘Connect-to-Connect Summit’ unaofanyika jijini Dar es
Salaam.
Wataalamu
wa sekta ya mawsiliano wakiwa katika majadiliano katika mkutano wa
masuala ya TEHAMA ‘Connect-to-Connect Summit’ unaofanyika jijini Dar es
Salaam
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Prof. John Nkoma
(kushoto) akiwa na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania
(TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura wakiwa katika mkutano huo.(P.T)
Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura
(kushoto) akiwa na Mkuu wa Kitengo cha Ufundi cha TTCL, Senzige Kisenge
(kulia) wakifuatilia mada anuai zinazowasilishwa katika mkutano huo
unaofanyika jijini Dar es Salaam.
Wa pili
kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk.
Kamugisha Kazaura, akizungumza na Waziri wa Mawasiliano na Huduma za
Posta wa Sudan Kusini, Rebecca Okaci (wa tatu kulia) viongozi hao pamoja
na maofisa kutoka sekta hiyo walikutana kimazungumzo ya kuangalia namna
ya kushirikiana katika utendaji kazi. Mkutano huo umeandaliwa na TTCL
kwa kushirikiana na Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia.
Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura
(katikati) akijadiliana jambo na Waziri wa Mawasiliano na Huduma za
Posta wa Sudan Kusini, Rebecca Okaci (wa pili kulia). Wa kwanza kulia ni
Mkuu wa Kitengo cha Ufundi cha TTCL, Senzige Kisenge.
Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura
(kushoto) akijadiliana jambo na Waziri wa Mawasiliano na Huduma za Posta
wa Sudan Kusini, Rebecca Okaci (katikati). Wa kwanza kulia Mkuu wa
Kitengo cha Ufundi cha TTCL, Senzige Kisenge.
Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura
na Waziri wa Mawasiliano na Huduma za Posta wa Sudan Kusini, Rebecca
Okaci (mwanamama pichani) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya
mazungumzo yao juu ya ushirikiano kikazi. Wengine ni maofisa waandamizi
kutoka pande zote wa sekta ya mawasiliano.
Baadhi ya
washiriki katika mkutano wa masuala ya TEHAMA ‘Connect-to-Connect
Summit’ wakifuatilia mada mbalimbali zilizowasilishwa leo ikiwa ni siku
ya pili ya mkutano huo unaofanyika jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya washiriki katika mkutano wa masuala ya TEHAMA ‘Connect-to-Connect Summit’ wakifuatilia mada mbalimbali zilizowasilishwa leo ikiwa ni siku ya pili ya mkutano huo unaofanyika jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment