DI MARIA ATWAA TUZO MAN UTD

Angel di Maria akiwa na tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Septemba wa Manchester United,.
KIUNGO mshambuliaji wa Manchester United, Angel di Maria ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Septemba klabuni hapo.

Di Maria kazini.
Di Maria 
ametwaa tuzo hiyo baada ya kupata 68% ya kura zote zilizopigwa kupitia 
tovuti ya ManUtd.com, huku nafasi ya pili ikienda kwa Ander Herrera 
aliyepata 23% huku Rafael akiambulia 9% ya kura hizo.
Staa huyo
 raia wa Argentina amesema anafurahi kuona ameanza vizuri maisha yake 
ndani ya Manchester United na anamatumaini kuwa anachokifanya uwanjani 
kinaisaidia timu kupata ushindi na poniti
No comments:
Post a Comment