TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Friday, October 24, 2014

Picha nyingine za Kigoma zilizonivutia usiku na mchana toka nimefika jana.

PBF_6277
Mtu wako wa nguvu Millard Ayo nimefika Kigoma jana kwa ajili ya kuja kusherehekea ule msimu wa dhahabu (FIESTA 2014) na watu wangu wa Kigoma kwenye uwanja wa Lake Tanganyika kesho Jumamosi October 25 2014.
Lakini pamoja na hayo nimekua na time ya kupita kwenye mitaa mbalimbali ya 89.3 Kigoma kujionea mwenyewe huwa inakuaje, hii ni mara yangu ya pili kufika hapa ambapo toka mwaka jana nilisema nimevutiwa sana na uhodari wa taa za barabarani kuwaka zote na kwa wakati.
PBF_6280
Kitu kingine ninachopenda kuhusu Kigoma ni kwamba huwa pamechangamka sana usiku ndio maana nimejikuta naipenda Kigoma usiku zaidi.
Pia watu wa Kigoma ni wakarimu sana yani, kama uliisikiliza AMPLIFAYA ya CloudsFM jana walisikika wakionyesha upendo wao kwangu baada tu ya kuniona.
PBF_6273
PBF_6275



PBF_6228
Hapa ni kwenye kituo cha daladala Stesheni
PBF_6222
PBF_6208
Nimekuja kujikuta navutiwa zaidi na ufukwe wa Ziwa kuliko wa bahari, hii ni kwenye ziwa Tanganyika ambapo huwa kuna upepo mzuri sana pia
PBF_6206

PBF_6199

Kesho Jumamosi nitakua pamoja na watu wangu kwenye uwanja wa Lake Tanganyika kwa ajili ya tamasha la Fiesta 2014 ambalo linawakutanisha wakali kama Ali Kiba, Mr. Blue, Stamina, Baba Levo, Linex na wengine.

No comments:

Post a Comment