SHIRIKA LA NDEGE LA FLY DUBAI WAZINDUA SAFARI ZAO NCHINI TANZANIA
Makamu wa
 Rais mwandamizi katika shughuli za kibiashara wa shirika la ndege la 
FlyDubai ,Bwa.Sudhir Sreedharan akizungumza mbele ya wageni waalikwa 
mbalimbali jana kwenye uwanja wa kimataifa wa Jk Nyerere Kwenye Uzinduzi
 wa Shirika jipya la ndege la Fly Dubai.
Shirika Jipya la Ndege la Fly Dubai Jana Wamezindua safari zao nchini kwa gharama za bei nafuu,pia ndege hiyo itakuwa ikiruka moja kwa moja pia kutokea Zanzibar kwenda Dubai
Shirika Jipya la Ndege la Fly Dubai Jana Wamezindua safari zao nchini kwa gharama za bei nafuu,pia ndege hiyo itakuwa ikiruka moja kwa moja pia kutokea Zanzibar kwenda Dubai
Balozi 
mdogo wa Tanzania Nchini Dubai Mh Omar Mjenga akitoa shikrani zake kwa 
shirika la Fly Dubai kwa kuanza safari zao nchini Tanzania
Mgeni 
rasmi,Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano,Mh Samia Suluhu 
akizungumza mapema leo katika uzinduzi wa njia mbili mpya za ndege ya 
FlyDubai aina ya Boieng 737-800,uliofanyika katika uwanja wa Ndege wa 
Kimataifa wa Julius Nyerere,jijini Dar(P.T)
Sehemu ya Wafanyakazi wa Uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere wakifuatilia uzinduzi huo
Mh Pius Msekwa akifuarajia Jambo wakati wa uzinduzi wa safari za shirika la Ndege la Fly Dubai
Makamu wa
 Rais mwandamizi katika shughuli za kibiashara wa shirika la ndege la 
FlyDubai ,Bwa.Sudhir Sreedharan akiteta jambo na Mgeni rasmi,Waziri wa 
nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano,Mh Samia Suluhu 
Baadhi ya wageni wakishangilia Jmabo
Makamu wa
 Rais mwandamizi katika shughuli za kibiashara wa shirika la ndege la 
FlyDubai ,Bwa.Sudhir Sreedharan akijadiliana jambo na   Mgeni 
rasmi,Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano,Mh Samia Suluhu 
wakati wakisubili ndege itue
Mgeni 
rasmi,Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano,Mh Samia Suluhu 
akifurahia jambo na Mh Pius Msekwa wakati wakisubilia ndege ya FlyDubai 
aina ya Boieng 737-800 itue kwa mara ya kwanza nchini
Mgeni 
rasmi,Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano,Mh Samia Suluhu 
na Balozi mdogo wa Tanzania Nchini Dubai Mh Omar Mjenga wakisubilia 
ndege ya FlyDubai aina ya Boieng 737-800 itue kwa mara ya kwanza nchini
Baadhi ya viongozi wa Shirika la Ndege ya Fly Dubai wakisubili Ndege ya Itue 
Hatimaye ndege ya Fly Dubai ikatua kwenye uwanja wa kimataifa wa Jk Nyerere
Makamu wa
 Rais mwandamizi katika shughuli za kibiashara wa shirika la ndege la 
FlyDubai ,Bwa.Sudhir Sreedharan akikaribishwa nchini
Kikundi cha ngoma kikitumbuiza
Makamu wa
 Rais mwandamizi katika shughuli za kibiashara wa shirika la ndege la 
FlyDubai ,Bwa.Sudhir Sreedharan akisalimiana na Mh Pius Msekwa
Makamu wa
 Rais mwandamizi katika shughuli za kibiashara wa shirika la ndege la 
FlyDubai ,Bwa.Sudhir Sreedharan akimpa zawadi  Mgeni rasmi,Waziri wa 
nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano,Mh Samia Suluhu
No comments:
Post a Comment