UCHAGUZI MSUMBIJI KUFANYIKA LEO
Mabango ya wagombea mbalimbali wanaowania nafasi za uongozi nchini Msumbiji.
Msumbiji
leo inafanya uchaguzi mkuu wa kwanza wa kidemokrasia wa rais, wabunge na
wawakilishi wa majimbo tangu nchi hiyo kujipatia uhuru wake toka kwa
Wareno.
Zaidi ya
watu milioni 10 wamejiandikisha kupiga kura katika uchaguzi wa leo,
ambao unaonekana kuwa wa kwanza kidemokrasia tangu nchi hiyo
ilipojipatia uhuru wake kutoka kwa Wareno mwaka 1975.
Zoezi la upigaji kura linatarajiwa kuanza saa tatu kwa saa za Afrika mashariki.
BBC SWAHILI
No comments:
Post a Comment