SHULE 30 ZAUNGANISHWA NA SHIRIKA LA KIMATAIFA
Mgeni
rasmi,Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leornad
Thadeo akifungua bonanza la NGUVU YA KODI lililofanyika katika Viwanja
vya chuo cha ustawi wa jamii katika siku ya kumbukumbu ya kuadhimisha
miaka kumi na tano (15) tangu hayati baba wa taifa Mwalimu Julius K
Nyerere alipofariki Dunia Jijini Dar es Salaam. Tamasha hilo
limemkumbuka Baba wa Taifa kwa kutoa Elimu na maelezo ya kutosha juu ya
Kodi na Nguvu yake katika kuchangia maendeleo ya Taifa letu na Kukuza
uchumi.
Mkurugenzi
wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leornad Thadeo (kushoto) akiwa na
Mratibu wa Shirika La Activista Ein Ahimidiwe wakati akimkaribisha
kusaini katika ubao wa saini
Mkurugenzi
wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leornad Thadeo akisai ubao
kuungana na Activista pamoja na Action Aid Tanzania katika upingaji wa
watu kuto kulipa kodi.(P.T)
Mkurugenzi
wa Fedha wa TRA Bw.Salehe B Msholo ambaye alikuwa mgeni Rasmi katika
bonanza akitia Saini yake katika ubao wa saini katika uwanja wa ustawi
wa jamii siku ya kumbukumbu ya kuadhimisha miaka kumi na tano (15) tangu
hayati baba wa taifa Mwalimu Julius K Nyerere alipo fariki Dunia
Jijini Dar es Salaam
LRP
Coordnator&Partnership Develop[ment manager Jovina Nawenzala Akitia
saini katika ubao wa saini ili kuunga mkono wanafunzi wanaopinga
kutokulipa kodi kwa baadhi ya wawekezaji na wengine kuwekewa punguzo la
kodi
Bi.
Jovina Nawenzala akitoa ufafanuzi wa kina kuhusu shirika la kimataifa
lisilo la kiserikali la Action Aid na kazi zake katika siku ya
kumbukumbu ya kuadhimisha miaka kumi na tano (15) tangu hayati baba wa
taifa Mwalimu Julius K Nyerere alipo fariki Dunia
Mabango
mbalimbali yakiwa na na ujumbe tofauti katika maadhimisho ya kumbukumbu
ya kuadhimisha miaka kumi na tano (15) tangu hayati baba wa taifa
Mwalimu Julius K Nyerere alipofariki Dunia
Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la maendeleo la kabenzo Tanzania john A Sekamba Kulia akiwa na Jerry Kerenge katika bonanza hilo
Watumbalimbali
walio ungana na kuweza kuweka saini katika ubao ilikuweza kukumbusha
watu kulipa kodi ndio maendeleo ya nchi yetu
Vikombe
vikiwa mezani vikisubiri mshindi katika mpira wa miguu pamoja na mpira
wa pete kwa mshindi wa kwanza kwa upande wa vyuo na shule za sekondari
Mechi kati ya chuo cha ustawi wa jamii wakiwa wanapambana vikali na chuo cha kumbukumbu ya mwalimu Nyerere
Wanatimu
kwa upande wa vyuo walioshinda na kuondoka na kikombe kwa mshindi wa
kwanza ni chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere
Mlinda
mlango wa timu ya shule ya sekondari oysterbay akiupangua Mkwaju wa
penati na kuipelekea timu yake kuwa mshindi na kutinga nusu fainali
Baadhi ya Timu shiriki katika mashindano yaliyo andaliwa na Action Aid na Activista Tanzania
Mchezo wa kuvuta kamba nao haukuwa mbali hizi ni baadhi ya timu chache shiriki
wanafunzi mbalimbali wakijiandaa kukimbia mbio za urefu wa mita miamoja
Mshindi wa mbio za mita Miamoja (100)kwa wanafunzi wa kiume Japhet Mwandimo kutoka shule ya sekondari Kibasila
Mshindi wa mbio za mita Miamoja (100) mwanafunzi kwa wasichana Salome Saimon akisai jina lake baada ya kuibuka mshindi
Timu ya washindi wa mchezo wa mpira wa pete katika bonanza hilo katika shule ya sekondari wakiwa katika picha ya pamoja
Mgeni
Rasmi Akimkabidhi Mwakilishi wa mshindi wa pili katika mchezo wa mpira
wa pete kutoka chuo cha ufundi Veta akipokea medani kwa niaba ya Timu
Mshindi wa mbio za Ndimu Akipokea Medali Ya ushindi wa Mbio hizo katika Bonanza kutoka kwa mgeni rasmi
Mkurugenzi
wa Fedha wa TRA Bw.Salehe B Msholo ambaye ndiye Mgeni Rasmi akifunga
Bonanza lililofanyika siku ya kumbukumbu ya kuadhimisha miaka kumi na
tano (15) tangu hayati baba wa taifa Mwalimu Julius K Nyerere alipo
fariki Dunia Jijini Dar es Salaam
Picha za pamoja waalimu wafanyakazi wa mashirika wanafunzi pamoja na Mgeni Rasmi
Baadhi ya wanafunzi walio weza kuhudhuria bonanza hilo
kikundi cha burudani kikiwa kipo jukwaani kwaajiri ya kusherehesha katika bonanza lililo andaliwa na Action Aid Tanzania
No comments:
Post a Comment