WAFANYABIASHARA YA MADINI YA MCHANGA,KOKOTO NA MAWE WAANDAMANA MPAKA KWA MKURUGEZI WA JIJI LA MBEYA

Wafanyabiashara
 ya Madini ya mchanga,kokoto na mawe Jiji la Mbeya wameandamana leo 
kwenda ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji kwa kutumia maroli kupinga waraka wa 
Wizara ya Nishati na Madini unaowataka watumiaji wa bidhaa hiyo kulipia 
shilingi elfu mbili mia tano kuanzia Machi 3 mwaka huu.
(J.G)
No comments:
Post a Comment