Picha 8 za ajali ya ndege ya abiria na jinsi ilivyomgonga huyu mtu angani

Hili
 imetokea Florida Marekani ambapo mtu mmoja alikua anaruka akiwa na 
Parachuti lakini akakutana na ndege hii ndogo ambayo baada ya kumgonga 
walianguka chini wote huku ndege ikiangukia pua.
Pamoja na ajali hii, hakuna mtu aliepoteza maisha ila wote walipata 
majeraha madogomadogo baada ya kuanguka kwenye umbali wa futi 75 na 
wakapelekwa hospitali ambapo mwenye Parachuti John Frost (49) 
aliruhusiwa kuondoka.
Hili tukio limenaswa jinsi lilivyotokea kwa sababu kulikua na mpiga 
picha aliekua na camera karibu na alikua anashuhudia kila kitu.





No comments:
Post a Comment