TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Sunday, March 9, 2014

Taarifa Kuhusu Ndege inayosemekana kuzama baharini.

ndege
Taarifa zinazoihusu Ndege ya shirika la Ndege la Malaysia aina ya Boeing 777 iliyotoweka jana asubuhi bado haijapatikana mpaka sasa ingawa vikosi mbalimbali vya uokoaji kutoka China vimeelekea huko.
Ndege hiyo ambayo inasemekana ilibeba abiria 227 na wafanyakazi 12 kutoka nchi mbalimbali ilipoteza mawasiliano saa moja baada ya kupaa kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kuala Lumpur Malaysia na ilikua ikielekea Beijing China.
4
Taarifa zaidi zinadai ndege hiyo ilianguka katika bahari karibu na visiwa vya Phu Quoc, Vietnam,juhudi za kutafuta  ndege hiyo bado zinaendelea katika visiwa hivyo,baadhi ya ndugu wa abiria waliokuwa kwenye ndege hiyo iliyopotea wameonekana wakilia kwa uchungu mara  baada ya kupata taarifa hizo.
3

No comments:

Post a Comment