Alichosema Mourinho kuhusu wachezaji wa Madrid kupenda kujiremba

Jose
 Mourinho amezungumza kuhusu tabia ya wachezaji wa klabu yake ya zamani 
kujali zaidi muonekano wao kuliko hata kushinda makombe.
Mourinho ambaye aliondoka Real Madrid baada ya kuifundisha kwa miaka 
mitatu kabla ya kurudi Stamford Bridge, amesema wachezaji wa Madrid 
walikuwa wakishinda kwenye vioo vya dressing roon kabla ya mchezo.
“Mara nyingi ungewakuta wachezaji kwenye vioo kabla ya mchezo ya 
wakati refa anawasubiri kuelekea uwanjani,” Mourinho aliliambia gazeti 
Esquire.
“Lakini hivi ndivyo ilivyo jamii ya vijana wa siku hizi. Vijana 
wanajali sana kuhusu muonekano wao, wapo katika miaka ya 20 na mie 51 na
 ikia unataka kufanya kazi na watoto inabidi uielewe dunia yao.
No comments:
Post a Comment