KAMPUNI YA GOOGLE YAKANUSHA PICHA YA GOOGLE MAP INAYOONESHA NDEGE YA MALAYSIA ILIYOPOTEA
Kampuni
ya google imekanusha habari zilizotapakaa kwenye mitandao mbalimbali
duniani kwa kuweka picha ya Google Map ambayo inaonesha ndege ya
Malaysia Airline ikiwa imedondondoka ndani ya maji. Msemaji wa google
nchini Malaysia amesema
"Yes, the images may be there, but it
is not real time satellite images as the images may have provided to us
several weeks or months ago," he said when contacted.
Hii imetokana na kutapakaa kwa picha inayoonesha ndege ya Malaysia Airline imedondoka kwenye maji.
Mpaka sasa meli zipatazo 40 na ndege
34 zinazunguka bahari inayizunguka maeneo ya Vietnam na Malysia
wakitafuta ndege ya Malaysia Airline iliyopotea toka jumamosi.
Nchi zinazoshiriki kuitafuta ndege
hiyo ni Australia, China, Thailand, Indonesia, Singapore, Vietnam,
Philippines, New Zealand na Marekani.
No comments:
Post a Comment