TUME YA MARIKANA - POLISI WALIDANGANYA
Polisi wa Afrika Kusini wanatuhumiwa
kwa kudanganya kuhusu mauaji ya Marikana yaliyotokea mwaka jana, ambapo
wachimba migodi 34 waliuawa. Taarifa hii ni kwa mujibu wa tume ya
uchunguzi iliyokabidhiwa jukumu la kuchunguza mauaji hayo.
Inasemekana polisi walitoa ushahidi wa uongo au kuficha nyaraka ambazo zilitoa taarifa za uongo kuhusu matukio katika mgodi huo.(P.T)
Kitendo cha polisi kuwauawa kwa
kuwapiga risasi wachimba migodi katika mgodi unaomilikiwa na kampuni ya
Lonmin kiliwashtua sana wengi nchini humo.
Polisi walisema kuwa walikuwa wanajikinga kutokana na kuvamiwa na wachimba migodi hao siku chache baada waandamanaji kudaiwa kuwanyonga polisi wawili.
Tume ihiyo iliteuliwa na Rais Jacob Zuma kuchungza mauaji hayo ambayo yalikuwa mabaya zaidi kuwahi kufanywa na polisi tangu kukamilika kwa enzi ya ubaguzi wa rangi.
Taarifa yake ambayo imekuja siku kumi baada ya kupata taarifa za polisi kwenye komputa zao na pia kupitia nyaraka zao.

No comments:
Post a Comment