TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Tuesday, September 24, 2013

KAMPENI KWA NJIA YA HABARI JUU YA KAZI ZENYE STAHA KWA WAFANYAKAZI WA MAJUMBANI 

IMG 2860 81de5
Naibu waziri wa Katiba na Sheria Mh. Angellah Kairuk i(wa tatu kushoto) akiimba wimbo wa mshikamano pamoja na viongozi mbalimbali wa Chama cha wafanyakazi wa majumbani (CHODAWU) wakati wa uzinduzi wa kampeni kwa njia ya vyombo vya habari juu ya kazi zenye staha kwa wafanyakazi wa majumbani uliofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam,
IMG 2924 d35d9
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Angellah Kairuki (kushoto) akipokea kikombe cha chai kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha wafanyakazi wa majumbani (CHODAWU) wakati wa uzinduzi wa kampeni kwa njia ya vyombo vya habari juu ya kazi zenye staha kwa wafanyakazi wa majumbani uliofanyika jijini Dar Es Salaam tarehe 24/09/2013. Kikombe hicho kinapomiminiwa chai kinatoa ujumbe maalum kuhusu haki za wafanyakazi wa majumbani. Anayeshuhudia ni mwakilishi kutoka ILO ambaye alihudhuria uzinduzi huo:CHANZO FARIDA KHALFAN(hd)

No comments:

Post a Comment