KESI YA SHEIKH PONDA MPAKA OKTOBA 1
Sheikh Ponda Akishuka kwenye basi la
Magereza tayari kuingia Mahakamani Kusikiliza kesi yake inayomkabili
katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani Morogoro. Sheikh Ponda
alishatikiwa katika Mahakama Hiyo akikabiliwa na Mashtaka Matatu Ambayo
inadaiwa aliyatenda Mkoani Morogoro katika Mkutano Hadhara mwezi
uliopita. Kesi hiyo imearishwa tena Mpaka Tarehe 01.10.2013. Sheikh
Ponda amenyimwa Dhamana na amerudishwa Rumande.(P.T)
No comments:
Post a Comment