TANZANIA YAZINDUA RASMI SIKU YA TEMBO KITAIFA JANA

Gari la
Maliasili likiwa limebeba Meno ya Tembo, wakati wa kujiandaa na
Maandamano kuelekea Mlimani city kwa ajili ya maadhimisho hayo

Msanii wa
Muziki wa Kitanzania Mrisho Mpoto akianza kuongoza maandamano kutoka
Chuo kikuu cha Dar es salaam Kuelekea Ukumbi wa Mlimani City jana (P.T)

Wasanii wa Mrisho Mpoto wakiwa wamebeba chatu katika maadhimisho ya Siku ya Tembo Kitaifa jana

Mkurugenzi
wa wanyamapori Wizara ya maliasili na utalii Prof. Alexander
Songorwa akisoma Hotuba kwa niaba ya Waziri wa Maliasili na utalii.

Wanafunzi kutoka Shule ya Jitegemee wakiwa wanafuatilia kwa umakini Maadhimisho hayo

Mrisho Mpoto akiwa anatumbuiza katika Maadhimisho hayo ya siku ya Tembo
No comments:
Post a Comment