KUNDI LA CASH MONEY, RATOA MSAAA KWA WAGOJWA HOSPITALI YA TEMEKE
![]()  | 
| Wana kikundi cha Cash Money wakiwa tayali kwa kutoa msaada katika hospitali ya Temeke | 
Mlezi wa Kikundi cha Cash Money 
,Ratifa Masasi kulia akimkabibi muhuguzi wa wodi ya watoto bi, Nuswe 
Ambokile zawai mbalimbali walizoleta kwa ajili ya watoto waliolaza 
katika hospital ya Temeke(P.T)
        

Baadhi ya wana kikundi cha Cash Money wakiwa katika picha ya pamoja na wahuguzi wa word ya watoto Hospitali ya temeke baada ya kukabidhi msaada





Mlezi wa kikundi cha cash money bi, 
Ratifa Masasa akimfariji mtoto Salimu Ally wakati walipokwenda kutoa 
msaada katika hospitali ya temeke dar es salaam mwingine ni mama mtoto 
Tabu Salumu mkadhi wa 
Tandika
Na Mwandishi Wetu
MSANII nguli wa muziki wa dansi aliyestaafu, Muhidini Gurumo, atapanda jukwaani leo kutumbuiza na mkewe, sambamba na kupewa zawadi za heshima.
MSANII nguli wa muziki wa dansi aliyestaafu, Muhidini Gurumo, atapanda jukwaani leo kutumbuiza na mkewe, sambamba na kupewa zawadi za heshima.
Gurumo atatoa burudani hiyo ikiwa ni 
sehemu ya kuwaaga mashabiki, ambapo shughuli hiyo itaambatana na 
uzinduzi wa kundi la Cash Money, la Tandika mjini Dar es Salaam.
"Tumeandaa zawadi kwa mzee Gurumo 
kutokana na heshima kubwa aliyonayo katika tasnia ya muziki na kujenga 
maadili kwa taifa kutokana na nyimbo zake.
Hivyo zawadi zetu zitaenda sambamba na
 uzinduzi, ambapo tumepanga hivyo, ili lee mwenye chochote ampe mzee 
wetu,"Aliongeza Latifa Masasi mlezi wa kundi hilo.
Uzinduzi huo unafanyika kwenye ukumbi 
wa Equator Grill, Mtoni kwa Aziz Ali, Dar es Salaam na utapambwa na 
bendi mbalimbali za taarabu zikiwemo Coast na G Five.
Kundi la Cash Money ambalo lilianzishwa mwaka 2011, pia limetoa vitu mbalimbali kwa wodi ya watoto, na vituo vya watoto yatima jana, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi huo, Licha ya kuwatembelea wagonjwa hospitalini hapo pia watetoa misaada ya vitu mbalimbali katika vituo vya watoto yatima kilichopo Mtoni mtongani na Tandika. Hata hivyo Muuguzi wa wodi ya watoto vifaa vya kutendea kazi ni vichache kama oxygen machine ipo moja na watoto ni wengi wanaohitaji huduma. Hivyo ameomba mashirika mengine yajitokeze kutoa msaada wa vyombo vya kutendea kazi.


No comments:
Post a Comment