PAPA BENEDICT AKANUSHA KUTOWAJIBIKA KWA KASHFA ZA KANISA

Papa wa zamani Benedict ameibuka 
kutoka kwenye ukimya binafsi ndani ya Vatican na kukanusha hadharani 
kwamba alificha vitendo vya manyanyaso ya kingono kwa watoto na mapadri 
wa kanisa katoliki.(P.T)
            
Katika barua ndefu kwa mtunzi wa 
vitabu wa Italia asiye na dini na mwanamahesabu (Piergiorgio Odifredi) 
na kuchapishwa jana Jumanne na gazeti la La Republica , Benedict alikana
 kutokuwajibika kwa kashfa ya ngono kwa watoto.Lakini amesema kanisa 
lazima lifanye kila iwezalo kuzuia vitendo kama hivyo kutokea tena.
Makundi ya waathirika wamemshutumu Papa huyo kwa kutokufanya vya kutosha kuzuia manyanyaso hayo, kabla ya kuwa Papa na baada , wakati alipoongoza ofisi ya kanuni ya Kanisa, ambayo ilihusika na kesi za manyanyayaso.
                    
No comments:
Post a Comment