TANAPA YAJADILI CHANGAMOTO ZA UHIFADHI

Mkuu wa 
Mkoa wa Manyara Elaston Mbwilo akifungua Kikao Maalum cha Kamati ya 
Ushauri wa Maendeleo Manyara kilichoitishwa kujadili masuala muhimu ya 
uhifadhi katika Hifadhi za Tarangire na Ziwa Manyara. Kulia ni 
Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi na kushoto ni Katibu Tawala wa 
Mkoa wa Manyara Misaeli Musa.
    
Muikolojia Yustina Kiwango kutoka 
Hifadhi ya Ziwa Manyara akiwasilisha mada kuhusu changamoto zinazotishia
 kutoweka kwa Ziwa Manyara.
Mhe. Waziri Dk. Mary Nagu akiongea :CHANZO PASCLE SHELUTETE (hd)
No comments:
Post a Comment